Kila kukicha ukikosa kusikia ili basi utasikia lile
kutoka uko majuu basi yatubidi tukae tuone vimbwenga vyao
,hivi karibuni supa staa Souja Boy alileta mauza uza
kwenye ndege baada ya kupanda ndege na kukata kukaa
kwenye kiti licha ya kuamuriwa na waudumu ndani ya
ndege mwisho iliwalazimu ulinzi kuletwa na kumuamuru
msanii huyo kutoka Marekani kushuka na kuhairisha
safari yake,nsikunyime uhondo ebu jione
mwenyewe kilichojiri ndani ya ndege....
0 comments:
Post a Comment