Kama upo Bongo na ni mpenzi wa kusikiliza Bongo
Fleva basi ukiona kichupa hiki lazima utahaamaki
Nyimbo iliyotoka mwishoni mwa mwaka jana ya Msanii
Godzilah akimshirikisha Joti kutoka Orijino
Komedi track ilidunda kama ''LAKUCHUMPA''
sasa naona kama Godzillah akuichukulia kimiyeyusho
kaamua kututumbukizia na Kideo kabisa yanii watu
waelewe kile kilichokuwa kinaimbwa zaidi...
Ebu Jione Mwenye video hii alafu kisha tiririka na Maoni yako......
Ime2lia sanaa
ReplyDeleteme love it!!!!!
ReplyDeleteIpo poa sana
ReplyDelete