Baada ya kusaini mkataba na timu yake ya sasa Real Madrid,Cristiano Ronaldo kutokana na mkataba huo unamfanya kuwa mchezaji ghali zaidi ndani ya ligii kuu ya uhispania na kuwa mchezaji anaeingiza mkwanja mrefu zaidi nchini umo...
Ronaldo amesaini mkataba utakaomuweka ndani ya timu hiyo hadi mwaka 2018 wenye thamani ya Euro Milioni 17 kwa mwaka huku akipewa haki miliki ya asilimia 60% ya matangazo yote na asilimia 40% kwenda Real Madrid....
Rais wa timu hiyo ameonshwa kufurahishwa na jambo la Ronaldo kubakia kilabuni hapo alisema haya ''Nimekuwa na Maongezi nae kwa kipindi \kirefu,nafurahi kuona yupo nasi hapa kwa miaka mingine mitano zaidi,nachotamani ni kuona anamalizia soka lake akiwa nasi hapa ni jambo ambalo kila mpenzi wa timu hii ata yeye pia nazani ndilo jambo lipo moyoni mwake''Alisema Rais wa Real Madrid,Florentino Perez.
Hili ni shavu kubwa sana sasa Ronaldo ndio mchezaji anaepokea mshiko mredu zaidi nchini spain....
0 comments:
Post a Comment