Recent Comments

NEWS:TAZAMA PICHA ZA FEZA KESSY ALIVYOWASILI NCHINI TZ.


Baada ya kufanya yake ndani ya jumba la Big Brother
 the chase 2013,muda wake ullifikia tamati
jumapili ya juzi baada ya kutolewa kwenye
jumba ilo nchini South Africa.....
Baada ya Tamati hiyo kufika mdada huyo mwenye
 mvuto huyo kutoka nchini Tanzania
siku ya leo amewasili nchini majira ya saa 1 jioni na k
ulakiwa na ndugu,jamaa na marafiki
nzuri zaidi hata mtoto wake na mama yake mzazi
walifika uwanja wa ndege wa kimataifa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kumpokea
sambamba wakiwa na kiongozi
toka Multi choice Tanzania,Barbra.

Unaweza cheki picha kadhaa baada ya kuwasili
na kupokelewa...Picha kwa hisani ya
Millard Ayo...
 Famili ya Fezza Kessy wakiwa wanamsubiri....
Fezza akiwa amembeba mwanae wa kiume....


Fezza akiwa amekuja kupokelewa na Msanii Vanessa Mdee uwanjani hapo....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment