Recent Comments

NEWS:TAZAMA PICHA ZA INTERVIEW YA MZEE GURUMO MARA BAADA YAKUMKABIDHI ZAWADI YA GARI

Usiku wa jana,usiku ambao binafsi na natumahi watu wengine
walifurahia kujumuika nami na familia nzima kiujumla
na hata wasanii wenzangu kiujumla.


Baada ya kuzindua video na watu kuiona nilimpa mzee wangu
zawadi ya gari na watu waliokuwepo walishuudia
tukio ilo,kiukweli naomba mwenyezi mungu amjalie
maisha marefu mzee wangu Gurumo aone nafika mbali
kimuziki kama ali
Mara tu baada ya kupokea zawadi yake toka
kwangu waandishi wa habari awakuwa mbali kumuhoji na
kumuuliza maswali mawili matatu Mzee Gurumo..
Binafsi kidogo nilichokuwa nacho
 nimeamua kugawana na Mzee wangu
kwa kuweza kuipeperusha bendera ya nchi yetu kwa
takribani Miaka 50 ni zaidi ya umri wangu.
Hizi ni picha tu kadhaa za waandishi wa
Habari wakimuhoji Mzee Gurumio
mara tu baada ya kuzawadiwa gari na kijana wake
mwenyewe hapa Naseeb Abdul.
Nikimunuku Mzee Gurumo kutoka kwa Detective wa Thisisdiamond alisema
''Namshukuru sana kijana,sio kwa ili alilonifanyia,bali hata kwa mimi binafsi
navyomkubali,kunialika hapa  ni heshima kubwa sana,napenda
na nathamini kazi yake kama nilivyosema mwanzoni akiendelea hivi
basi atafika mbali na mimi pia namuombea afike mbali zaidi''
Sikuwahi kuwa na baiskeli lakini mtoto huyu kanipa gari
namshukuru sana,Mungu amuongeze''
Maneno aliyoongea Mzee Muhidini Gurumo...!!





Mzee Gurumo ndani ya mkoko wake.......Legendary mwenyewe...!!


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: