Recent Comments

USHAICHEKI BEHIND THE SCENE YA VIDEO YANGU MPYA MY NUMBER ONE......??? TAZAMA HAPA EXCLUSIVE VIDEO KWA AJILI YAKO


Mtu wangu wa Nguvu......Baada ya kusubiria kwa
 muda mrefu kitu kipya toka kwangu basi hii yaweza

kuwa zawadi tosha kwenu toka kwangu kwa muda
 huu na zawadi kubwa yenyewe ipo njiani...
Nakudondoshea Behind the scene video ya Video
 yangu mpya niliyofanyia nchini South Africa na kampuni
ya Ogopa Videoz....!! Icheki hapa kujua kilifanyika
 nini na kwa muda gani na gharama nzima kiujumla na
hadi hapa ilipofikia kukamilika......Natumahi utafurahia.........!!Nawatakia Usiku mwema

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. Daaaaaaaah safi sana platnum vp video yenyewe inadondoka lini?

    ReplyDelete
  2. Hawa wanakuchumia dhambi kukusema na kukutamkia maneno ambayo hayafai waache.mtu akitoka kimaisha mnaanza kumzungumzia ovyo.Watanzania tuelemike Diamond kazi zako nzuri songa mbele.umetisha kijana

    ReplyDelete