Recent Comments

CHAT NA MIMI LIVE KESHO SAA 8 MCHANA/#VodacomNgololoChat


Hii ni nafasi yako ya pekee kwa wewe shabiki
wangu wa kweli kuchat na mimi live siku ya kesho alhamisi tarehe 12 sa 8 mchana.kupitia kurasa za Facebook na Twitter za Vodacom,zungumza nami,niulize chochote kupitia
www.facebook.com/tzvodacom na www.twitter.com/vodacomtanzania.
#VodacomNgololoChat
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments: