Siku ya leo mchana ndani ya kipindi cha xxl cha Clouds,nilikuwa
ninatambulisha rasmi,Audio ya wimbo wangu
mpya wa Number 1.
ambapo pia nilipata fursa ya
yakizungumzwa kuhusu mimi,kuanzia swala la madai ya
Dayna na Baba levo
pamoja na tuhuma za binti aliyedai ana mtoto wangu.so
kwa wewe shabiki yangu ambaye hukupata nafasi ya
kuniskiliza.sikiliza audio ya mahojiano yangu kupitia hapa hapa.
Kumbuka tu kuwa,usiamini chochote ambacho sijakitamka mimi rasmi.
NA WATUWACHE TULALE....
Mti wenye matunda daima upigwa mawe!!! Mkubwa unaweza!!! BIG UP!!!
ReplyDeleteBringing Tanzania to the world ! kaka safi sana,..
ReplyDeleteHA HA HA HA NI KWELI ERIC UNGELE MTI WENYE MATUNDA DAIMA UPIGWA MAWE LAKINI KAZI YAKO INAONEKANA NA WATANZANIA HATA NCHI ZA NJE WANAKUKUBALI ,UJE UWATUNGIE NYIMBO MOJA TU HAO WENYE KUSEMASEMA NA KUTUKANA BILA KUJUA WANACHOSEMA WALA WANACHOTUKANA MUNGU AZIDI KUKULINDA NA KUKUPIGANIA KILA ITWAPO LEO
ReplyDelete