Recent Comments

ONE WEEK...188,000 VIEWERS,THANX MY FANS KWA SAPOTI


Napenda nimshukuru Mungu kwa kuniwezesha

 kufanikisha kurekodi video yangu ya #ONE,lakini pia nisisahau kuwashukuru
 mashabiki wangu wanaoendelea kutoa sapport kwa kutembelea kwenye mitandao
 mbali mbali ya kijamii
 kuitazama video,kwani mpaka sasa kwenye acount 
yangu pekee ya youtube,video ya number one imeshatazamwa na watu laki 
moja na themanini,kuelekea laki mbili ikiwa na 
week moja tu tangu niiweke,hii ni kuonyessha ni kiasi gani mmeipokea vizuri video yangu
 na mmeipenda.
Ninachowaahidi ni kuendelea kuwaandalia
 nyimbo nzuri zaidi pia video zenye kiwango kizuri ili kuweza kuufikisha music
 wetu wa Tanzania kimataifa,Ahsanteni sana kwa Support.
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments:

  1. umeona sasa ndivyo unavyo takiwa nice

    ReplyDelete
  2. tsup diamond....diamond ww unabalaa....endelea kuwakalsha bro#

    ReplyDelete
  3. You ril do it bra.....leo nimepanda Hiace natokea arusha mjn kuelekea philips kuna m2 alitakiwa ashukie mt.meru hotel akaamua apitishwe ki2o iliaone pale mwisho " Ngololo ngololo ". 2lishukanae philips ndio akaniadithia then akarudi kwamiguu coz cmbal sn.

    ReplyDelete