Imebaki saa moja tu @Vodacomtanzania imsogeze #CocaBoy karibu
na Shabiki ndugu na rafiki zake, kupitia Facebook fun Page ya Vodacom
tanzania kuanzia saa 8 Mchana, ntakuwa live nikiwa na chat na nyinyi
ndugu ama rafiki zangu ambao naamini kila mmoja ana maswali
na ushauri wake ambayo siku zote
amekuwa akitamani tuzungumze.... So now lets meet there na tupige zetu Umbea! LOL!
0 comments:
Post a Comment