Recent Comments

EXCLUSIVE:IPATE NUMBER ONE KWENYE SIMU YAKO KUPITIA VODACOM NA UJISHINDIE TSH-50,000


Unataka nyimbo ya number one iwe mwito wako 
wa simu?unataka ndugu yako,rafiki zako na wote unaowapenda waiskie number one kila wakupigiapo?usijari,Vodacom Tanzania wanakupa access 
ya wewe shabiki wangu wa kweli kuupata
 wimbo wa number one kwenye simu yako,yani call tune,lakini pia 
kwa
 kufanya hivyo,unakuwa umejiweka
 kwenye nafasi ya kujishindia Tsh,50,000 kila siku.Sound good right?
so unachotakiwa kufanya,tuma neno DM kwenda 15577,My number one
 itawezeshwa kuwa muito wako wa simu.
Nawapenda sana
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. SHUKURANI MASHABIKI WAKO TUPO WENGI SANA VODA COM WATACHOKA WENYEWE NGOJA NITUME SASA HIVI NIKIUPATA MWIMBO NITAKUJUZA

    ReplyDelete
  2. kaka diamond tunakupenda pia ngoja nifanye utakavyo

    ReplyDelete