Recent Comments

EXCLUSIVE:DOWNLOAD NA SIKILIZA AUDIO HALISI YA MY NUMBER ONE

Baada ya kufurahia video yangu ya number one,hii ndiyo time yako ya pekee kuiskiliza audio halisi ya number one,huna haja ya ku convert kutoka kwenye video.kupitia thisisdiamond nakupatia fursa ya kuskiliza na hata kudownload.Nawapenda sana.
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

4 comments:

  1. ndiyooo nimeiptaiko poa una bamba sanaaaaaaaaaaaa platnumz

    ReplyDelete
  2. first time naona msanii ana'share wimbo bure...
    and not only a song, but a hit!

    big up Diamond.

    ReplyDelete
  3. Wasafiiiiii oyeeeeeeee,Diamond oyeeeeeeee,uko juuu juuu juuu zaidi,wewe mkali wa bongo f

    ReplyDelete
  4. nice life diamond wish u many years for more betterment

    ReplyDelete