Recent Comments

ULIKOSA KUSHUHUDIA KILE NILICHOKIFANYA KWENYE KILL MUSIC AWARDS TOUR,DAR ES SALAAM?

Tukiingia eneo la tukio sambamba with my blood.Rommy J.
 Siku ya Jumamosi usiku ilikuwa ni hitimisho la tour ya
 washindi wa Kili music awards,ambapo inshu nzima ili hapen kwenye viwanja 
vya Leaders club,Dar es salaam.President 
wa WCB Wasafi nilikuwepo pia,niliitumia fursa hiyo
 kukata kiu ya wapenzi wa music wangu,nikiwa sambamba na
 team yangu yoote ya WCB tukafanya unyama wetu...tazama baadhi ya picha za kile nilichokifanya nikiwa sambamba na mwanangu,Nay mwenye mitego yake
Back stage na mwanangu Mujeda,Nay wa Mitego&Rommy J

Dullah planet.akinikaribisha on stage ...........

Nyomi ya watu ikisubili toto la kimanyema  nipande kwa stage..noma kweli

Haya sasa.......!!!

Mdogo mdogo mashetani yakaanza.....

Umati kama huu unatia hamasa right??

Na tulewe wote sasa..............

Hawa watoto ninapokuwa nao baaasi..lazima kila kitu kiende sawa

Imma akiongoza jahazi mdogo mdogo......
  






Add caption

Hawa watoto mashetani ya kikwao yakiwapanda tuu..........

Imma,Dummy,Rama mpauka na Moze Iyobo kwa mbalii

Tuimbe wote sasa

Anaitwa Imma Platnumz.......



Ile michezo yetu  ya kuringa ringa sasa












Amekaa..hajakaaa?

Aaah!!hayo matusi bwana.........!!







Ha ha ha h ,add caption..












.

.
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments:

  1. It was crazy....#shouwt tu WCB and all walioperform kwenye stage

    ReplyDelete
  2. halaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHHHHH

    ii burudan baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaasssss
    diamond!!!! u made it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

    ReplyDelete
  3. Uko juuuuuuuuu Diamond sikuisikia hii nisingekosa kabisaaaa.utaendelea kuwa juuuuuuuu kila itwapo leo wewe endelea kumtanguliza Mungu katika kazi yako kazi ni kazi na asiyefanya kazi na asile kuiba tu ndiyo dhambi kaza buti utafika mbali sana kama alivyokueleza mzee Ngurumo

    ReplyDelete
  4. unatisha sana kaka ninatamani kufanya na wewe show ila uwezo cna but i believe god one day yes

    ReplyDelete