Nikimtaja Meek Mill waeza ukawa ushamsikia mnyamwezi huyu anetamba kwenye gemu la muziki wa Hip-Hop RnB na nikimtaja Nicki Minaj utajua namzungumzia mwanadada machachari kabisa kwenye miondoko ya kurap nchini marekani na duniani kiujumla. Tazama Picha hizi tatu za Mwanadada Nicki Minaj akiwa Studio na Meek Mill Ingawa wawili hawa awakuweka wazi ni ngoma gani wanatengeneza..... Maswali kwetu...Tusubiri goma zuri toka kwao au sio bhana,,,,,?? Usikose kupitia hapa hapa kupata upadates kali za town na habari tofauti tofauti.
0 comments:
Post a Comment