Katika hali yasintofahamu ili nalo inaweza ata kukushtua kama wewe ni mfatiliaji wa habari toka majuu... Hii ni kwa msanii Justin Bieber kuonekana kuwa na ukaribu na mtoto wa marehemu Michael jackson mfalme wa Pop duniani.... Zilianza tetesi kwenye mitandao ya kijamii kuonekana Tweets baina ya Justin na Paris mweye umri wa miaka 16.......Lakini siku ya jana Paris na Bieber walionekana pamoja kwenye maonesho ya farasi nchini marekani na paparazi walipowasili walionekana kujitenga tofauti na walivyokuwa mwanzo... Je tutegeme nini kutoka kwa wawili hawa,paris ambae hivi karibuni alitaka kujiua pasipo sababu na Bieber mwenye skendo iliyomkuta ya kuwatemea mate mashabiki wake...... Je couple hii itadumu au ni marafiki tu...? Aya sisi tuzazidi kuwajuza tu kitakachokuwa kinaendelea kuhusu wawili hawa..... Usikose kutembelea Blogsite hii kwa habari moto moto...!!
0 comments:
Post a Comment