Blue Ivy Carter ndilo jina la mtoto huyu wa wanyamwezi hawa toka Marekani yanii nikimaanisha Jay-Z na Beyonce mrembo mwenye kipaji asilia. Hizi ni baadhi ya picha za Jay-z na mtoto wao Ivy akiwa anaonekana akizidi kukuwa kwenye afya tele licha ya siku za nyuma kuusishwa kuwa na matatizo ya moyo yaliyopelekea Mtoto huyo kutibiwa chini ya Uangalizi wa Madaktari Bingwa toka Ufaransa zaidi ya watano...... Unajua walikuwa wanalipwaje....?? Kaa nami hapa ntakujuyza kwenye makala ndani Thisisdiamond.com
0 comments:
Post a Comment