Napenda nimshukuru Mungu kwa,kuwezesha tamasha hili
liende vyema na salama,
liende vyema na salama,
sitoacha kuwashukuru watoto mliojitokeza pia
na wazazi mlioruhusu watoto wenu kuja kwenye
onyesho..nina mengi ya kunena kuonyesha
shukrani zangu..ila nasema neno moja tu
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
...NINAWAPENDA SANAA!!!!
Mashabiki wakinisubiria kwa hamu
Shadee ndiye alikuwa host |
Nikiwasili
Kazi ikaanza |
Mpaka giza linaaingia ..kazi ikiendelea..!!!!
SAFI SANA
ReplyDeleteIko poa sana
ReplyDeleteGood good good
ReplyDeleteUko vizuri sana platinum. Big up
ReplyDeleteyaani ilipendeza sana hongera Diamond
ReplyDeletecongratulations Diamond, its a success and a great challenge to the coming young generation, i must say you are awesome .... congratulations once again and more congratulations. keep up
ReplyDeletediamond are forever vipi platnum mwaka huu naona hujalifanya,na hongera kama kweli umerudiana na mama wema cuz u gyz mnapendeza mkiwa pamoja ni kama jay-z na bey,xo kama kweli fanyeni kweli ili muwe mfano hapa tz ni sawa na mbele jay-z na bey,mkipata mtoto ndio kabisaaaaaaaaaaaaa itakuwa ndio habari ya mjini hapa tz itapendeza xana,pia big up kwa show yako ya lidaz ni ni shidaaaaaaaaaaa.
ReplyDelete