Recent Comments

VIDEO-NIKIIMBA MZIKI GANI NA BINTI ANAYE LELEWA KATIKA KITUO CHA WATOTO BUGURUNI


Hii ilikuwa ni siku ya ijumaa,nilipotembelea
 kituo cha kulelea watoto,kilichopo buguruni,nilishiriki nao chakula cha pamoja,
kuimba nao,kucheza na kuzungumza...mmoja wao
 alikuwa ni huyu binti mwenye kipaji cha kuimba,tuliimba
 pamoja wimbo wa mziki gani..yeye akichukua
 nafasi ya Nay true boy..japo alikuwa akiimba kwa sauti ya chini..
lakini ni muimbaji mzuri na anakipaji...
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. hahhaha entertainment kwa watoto is something very important. keep it up D and the door of blessing will be waiting open for a person like you. 'waachane watoto waje kwangu'

    ReplyDelete