Finaly!!!!!!..........I
hope We ushacheza na kuimba saaaaana na Diamond... sasa hii ni maalum
kwa Mtoto wako, Mdogo, Ucle, Aunty yako inshort Family!...ni this
wednesday 25/12/2013 Christmass🎄 katika kiwanja cha Leaders Club,
itamwagwa Michezo yooooote ya watoto
ikiambatana na Burudani Kali toka @Wcb_wasafi
....ZINGATIA! Kuna kitu cha RedCarpert Maalum kabisa kwajili ya Watoto,
hivyo hakikisha mwanao UnaMnyukisha vyakutosha!... Mvalishe kama
Diamond, Aimbe kama Diamond, Acheze kama Diamond, Ikiwezekana hata
nywele Kiduku cha njano kama Diamond.... Kwani nini si nini ama?????
Sponsored by @Cocacolatz watoto Dressed by @babyishtz cC @iviewstudiosHome / Uncategories / TAREHE 25,MWACHE MTOTO ACHEZE KAMA DIAMOND,AIMBE KAMA DIAMOND NA AVAE KAMA DIAMOND
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Kila la kheri kwa siku hiyo 25 Desemba. Ningependa kumleta Mwanangu Mourinho hapo but yupo Moshi na bibi yake. Tunakuombe mafanikio na watoto wafurahi vizuri siku hiyo. Much Love Nasibu
ReplyDelete