Jana nilipata fursa nyingine ya kushare chakula cha
mchana na
ndugu zangu, Wadogo zangu walio
katika kituo cha Al_Madina kilichopo
Tandale yemen...
kesho Jumanne ntakuwa kigogo
katika kituo cha #NewLife kilichopo kigogo je unataka
kuungana nami??? wasiliana na namba
hii +255654019091 #PamojaWeCan #ThanksGiving
Mungu akubariki kwa ukarimu wako wa kuwajali yatima kwani sote ni ndugu, japo tunatofautiana
ReplyDeletesafi sana...ubarikiwe kijana
ReplyDeleteAll the best Diamond. Don't forget where you came from licha ya maisha ya sasa ulionayo. Keep Good first and everything will be Alright .
ReplyDeletekwanni mungu asikupe zaidi na zaidi wakati anachokupa unawapa yatima na masikini... mungu akuzidishie
ReplyDeleteAll the best
ReplyDeleteHapo hakuna unafiki kaka kati ya jambo au mambo ya msingi ulofanya kwa mwaka huu hili nalo jambo. . Mungu atakulipa tena na tena In sha allah.
ReplyDeletekwa hii style kaka... mbona hapa "VUMBI TU", Endelea kutuonesha akili yako ya ziada na wengine wajifunze...Ama Nini!
ReplyDeleteDiamond ni mfano bora wa kuigwa ma wasanii hata kwa mwaka 1213 pale ulimpompatia mzee Ngurumo gari,pia pale ulipowakaribisha watoto yatima nyumbani kwako mkala nao futari,na kula nao pamoja sikukuuy a exmass,na leo kati ya watoto 25 kusomeshwa kwa gharama zozote na Diamond kwa kweli mwenyezi Mungu akusaidie sana katika shughuli zako zote na akuongezee kila sehemu ambayo utatoa Mungu akubariki sana Diamond
ReplyDelete