Recent Comments

HAPPY BIRTHDAY MAMA NASEEB


Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona
 kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata
 katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila
 niyakumbukapo najikuta ghafla machozi
 yananitoka...tazama hata hapa najikuta nakosa
 cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi
 kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako... Nakupenda 
sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu 
yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe
 Mbele kwangu ni kiza... Happy Birthday Mama Nasibu 
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. DEKA NI WAKATI WAKO WA KUDEKA KWA MAMA YAKO USIPODEKA KWA MAMA UKADEKE WAPI.NAMI NAMTAKIA AFYA NJEMA NA MAISHA MAREFU.NAFURAHI SANA NINAPOONA MTOTO ANAMTAMBUA MAMA YAKE MZAZIWAKE ACHA MAMA NASSIBU ALE RAHA NIWAKATI WAKE WA KUTESA SAHAU SHIDA ZOTE ZA NYUMA.MSHUKURU MUNGU MWANAMKE MWENZANGU WATOTO WACHACHE SANA WANAOKUMBUKA WAZAZI LAKINI WEWE MWANAO ANAKUKUMBUKA ANAKUPENDA KURA RAHA MAMA MIEZI TISA MTOTO TUMBONI BADO KULEA SIO MCHEZO.DIAMOND NAMI NAKUOMBEA KHERI BARAKA NA MAFANIKIO MEMA KATIKA MAISHA YAKO YOTE NA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU .MMETOKA VIZURI SANA MAMA NA MWANA MPAKA RAHA.

    ReplyDelete