Recent Comments

MAKALA:MJUE LUIS MORENO OCAMPO ADUI NAMBA MOJA WA VIONGOZI WA DUNIA

Ukilitaja jina hili Ulimwenguni basi akutakuwa na mtu anaefatilia maswala
 ya habari za dunia akose kumjua


binadamu huyu sana kwa upande wa Afrika ukimtaja huyu basi viongozi wengi
 wanamtambua,ila
kwa huku afrika ya mashariki ukimtaja binadam huyu kwa viongozi wa
 kenya basi unaeza angushiwa
varangati na ujute kwanini ulimuulizia,LUIS MORENO OCAMPO mwenye
asili ya kiagentina ni mpelelezi
na mfatiliaji mashitaka kwenye mahakama ya kivita dunia ambayo inajulikana
  kama HAGUE ambayo maka
makuu yake yapo nchini Uholanzi...!!
Aidha kwa upande wa afrika mashariki ewe kijana mwenzangu uliweza
kumjua jamaa huyu kipindi
yupo nchini kenya kufanya upepelelezi baada ya machafuko kutokea ya ghasia za uchaguzi
wa mwaka 2008 nchini humo.....
Ocampo aliezaliwa mnamo tareh 4.6.1952 nchini Argentina......
Ocampo anafahamika kama mpelelezi na mwendesha Mashtaka mkuu
ndani ya The Hague...
Tokea aanze kazi hiyo unaambiwa hajwahi kumfatilia mtu kiundani
 kutokana na maswala
\ya kivita na akashindwa mfikisha kwenye mahakama hiyo
na ushaidi tosha..
Mnamo mwaka 2004 Ocampo akiwa nchini Argentina alimfunga
 baba yake mzazi kwa kosa
la kula rushwa nchini humo,hii ndio ilikuwa mojawapo ya chachu za
 yeye kupewa hata kazi
kwenye mahakama hiyo kutokana na kufanya kazi
 kwa moyo mmoja...!!

Toka aingie madarakani yeye ameweza kuwatia nguvuni viongozi
 nguli wa Afrika mojawapo
akiwa kama Charles Taylor aliekuwa kiongozi
wa nchini Liberia
na hadi anastaafu alikuwa akimuwinda Rais wa Somalia Ali Bashir
japo akumtia nguvuni kila
amtokeapo anakuwa sheria inambana kumkamatia nchini
kwa mtu mwingine.....

Mwaka 2009 alikuwa sumu kali mithiri ya nyoka pale
alipotua nchini Kenya
kuanza upelelezi wa siku 72 hadi muda muafaka ulipofika na
 kuwataja waliochochea
ghasia hizo nchini humo.......

Namuita ni adui namba moja kwa viongozi wa dunia kwa kuwa
\ popote linapotokea tatizo
au machafuko ya hali ya juu basi baada ya ghasia kutulia
 Ocampo lazima
awasili mahala pale kujua ukweli wa mambo......

Ni hayo tu kwa leo mpenzi msomaji wa makala wa Thisisdiamond
niandikie kwenye Email yangu
Thisisdiamond89@gmail.com kuniambia unataka
 nikuandikie makala ya kiongozi,mwanamihcezo na
taaluma tofauti tofauti...


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment