Recent Comments

KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA MOVIE YA THINK LIKE A MAN TOO

Mtangazaji wa Television kubwa duniani ya E  Terrence J yupo nchini Tanzania ,ambapo pamoja na mambo mengine,alihost uzinduzi wa filamu ya THINK LIKE A MEN TOO,na yeye akiwa mmoja ya nyota walioigiza humo,me na team yangu tulipata mwaliko,na hizi ni baadhi ya picha  tukiingia na  mahojiano ya kwenye red carpet







TERRENCE AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA MOVIE KUANZA
Baada ya kutoka ,Nikisalimiana na baadhi ya mashabiki wangu 


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments: