Makamu wa Rais wa Mpira wa kikapu Tanzania (TBF) Phares Magesa leo asubuhi akiongea na wapenzi wa michezo kupitia Redio kuhusu maendeleo ya mchezo huo nchini ikiwemo ziara ya mchezaji nyota wa NBA Stevve Curry ambae ataendesha semina na clinic ya vijana wadogo 100 tarehe 1 august mwaka huu, ndani ya viwanja vya Don Bosco Osterbay,wote mnakaribishwa..!!
0 comments:
Post a Comment