Recent Comments

NEWS:NAPE AFTURU NA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KIGOMA

Katibu Mkuu wa NEC na uenezi,Nape Nnauye akifturu pamoja na 

mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma,
Dr.Amani Kaborou ,Katibu wa CCM Kigoma,Mohamed Nyawenga na
 Mbunge wa Manyovu 
Albert Obama mkoani Kigoma...

Wakati wa Futari kwenye mstari mmoja mmoja ndio mpango....
NAPE akizungumza jambo baada ya futari....
Dua fupi ya kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuweza kumsaidia 
kila mmoja kuweza kufika
salama na kufturu kwa pamoja...
Nape akisalimiana na wajumbe na viongozi wa Mkoa wa Kigoma

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Mwenyezi Mungu hufurahia sn pale watu wanapotoa sadaka na kufuturu pamoja mwezi wa Ramadhan baraka nyingi zimuendee katibu wa Nec na Mwenyezi Mungu amjaalie na kumpa wepesi katika kazi zake

    ReplyDelete