Hii ni Habari njema kwa Mashabiki wa Ommy Dimpoz Tanzania nzima na Afrika kiujumla katika kupuga hatua kwenye muziki Msanii Ommy Dimpo,Rais wa Pozi kwa Pozi ameachia Mzigo mpya hatari kabisa mahakuli yaliyopikwa na yakapikika saawis kwenye Studio za Mj Records na Producer Nguli Marco Chali.... Ngoma Hiyo aliyomshirikisha Msanii wa Kimataifa toka Nigeria J.Martins,goma ilo linaenda kwa jina la TUPOGO... Kuwa wa kwanza kuisikiliza hapa....
Soma alama za nyakati,mambo yapo huku kuwa wa kwanza kujua kinachoenelea Town kwa kupitia hapa muda wote kwenye Blogsite yako ya kijanja Tanzania...!!
0 comments:
Post a Comment