Tunapenda kuwajuza mashabiki wote wa Shaa Tanzania nzima na wanaopitia Mtandao huu wa Thisisdiamond kuwa Msanii wa Bongo Flava Shaa amefiwa na Mama yake mzazi siku ya jana..... Kama Blogsite hii binafsi tunatoa Pole kwa Shaa na Familia nzima kwa kipindi hiki kigumu, mwenyezi Mungu awaongoze kwenye Kila jambo na awatie nguvu....!!
Mungu Aipumzishe Roho ya Mama yake na Shaa Mahala Pema Peponi.... Mbele yake nyuma yetu...!! Kwa habari zaidi tutazidi kuwajuza kiundani..!
0 comments:
Post a Comment