Sehemu maarufu ya watu kujidahi jijini Dar Es Salaam,Maarufu kama Samaki Samaki imetekeketea kwa moto majira ya mchana siku ya Leo. Maswahibu hayo yametokea kwenye pande za mbezi kwenye Tawi la Samaki Samaki ya Mbezi mchana wa leo uku ukiacha simanzi kwa wapenzi wa sehemu hiyo wanayotumia kujipumzisha weekend na hata siku za wikii. Bado aijajulikana zaidi chanzo cha moto huo ulioteketeza sehemu hiyo ya watu kupumzika ingawa inasemekana ni hitilafu ya umeme ndio imechangia kusababisha moto huo. Aidha Thisisdiamond ilipojaribu kumtafuta mmiliki wa Samaki Samaki simu yake iliita bila kupokelewa...
Endelea kukaa nasi kukujuza zaidi kutokana na ajali hii ya moto.
0 comments:
Post a Comment