Sijui niseme nini kiukweli watu wangu wa nguvu lakini hii yote ni kwaajili yenu watu wangu wa kweli............!! 29.08.2013 Unajua siku hii inaenda kutokea nini.......??? Kwa upeo wako wa haraka haraka ebu niambie labda unategemea nini....?? Ni swali nakuachia wewe mtu wangu wa kweli,Tiririka uniambie kabla sijakujuza zaidi au vipi bhanaaaaa.....?????
Usikose kupitia kwenye Blogsite yako ya kijanja hapa hapa uwe wa kwanza kujua undani wa mwaliko huo na Tarehe hiyo.....kitakachoenda kujiri........
let me guese..nahis ur new song is raunching..am i right???
ReplyDeletehope utakua unatambulisha ur new video...wish u all the best...diamond the one and only..
ReplyDelete