Big Sean toka kundi la Good Music mchana wa leo kwa saa za marekani ameachia mtandaoni album yake mpya kupitia kipindi cha BET 106&PARK. Big Sean ameiachia album hiyo yenye nyimbo kumi na tano,Big sean amesema haya''Naitambulisha hapa kwenu album hii na imani ni njema kabisa kwa mashabiki zangu duniani kote,so hii ni kwaajili yenu kabisa..!!
Kupata album hii waeza inunua kwenye Itunes kuanzia mudaa huu...
0 comments:
Post a Comment