Kwa Akilini muda huu ukisikia Foolish Age Basi lazima utajua nazungumzia nini.... Movie Launching ya Msanii Elizabeth Michael ndani ya tarehe 30.8.2013 kwenye ukumbi wa Mlimani City Hall.. Ili kufika na kujiakikishia uhakika wa kuwemo siku hiyo basi fanya mapema toka Robby One Fashion (Kinondoni),Nyumbani Lounge(kinondon),Big Respect (Kariakoo), Shear Illusons(mlimani city) TCC (Chang'ombe) & Leaders Club (Kinondoni) Kwa Bei ya Tsh 30,000/= tu au waweza nunua meza nzma V.I.P kwa 300,000/= tu.... Hii si ya kukosa kabisa kwa mara ya kwanza kutokea nchini Tanzania....
0 comments:
Post a Comment