Kipindi hiki ni cha mama Mzazi wa Kim Kardashian
ambae ni mpenzi wa Kanye west au taweza sema baba
mzazi wa mtoto wao,North west.....Angalia Interview
hii hapa uone Kanye west alivyofunguka maisha yake
alipotoka hadi hapa alipo,maisha ya ulezi kati yake na
Kim na mengineyo......Unajua amejipangaje kulea
Familia yake...?? Je wanatarajia nini Karibuni....?? Basi icheki hapa.....
0 comments:
Post a Comment