Weekend ndo hiyo watu wangu wa kweli baada ya wikii nzima kuchakarika basi leo hii ni muda wa kuanza kuondoa stress na uchovu kwa kudondoka mjengoni Ambassadors na kuanza weekend yako uku ukipata muziki mzuri toka kwa DJ STEVE B,DJ BULLA & DJ MASSU kwa kiingilio cha 10,000/=Tsh tu mlangoni,Ts summer Love kwahiyo aitakuwa mbaya ukiambatana na flower wako kama auna basi jumuika nasi waeza kujikuta wa kwako anakusubiri huku,Usikose.
0 comments:
Post a Comment