Recent Comments

VIDEO:NIKIONGEA NA WAKAZI WA TABORA KWENYE FURSA YA FIESTA MCHANA WA LEO


Hii ni leo mkoani Tabora,nipo hapa mahususi kabisa 

kwaajili ya show ya Fiesta 2013 lakini siku ya
leo wasanii wote ambao tuko huku tulikuwa kwenye 
Fursa ya Fiesta,Nikisema Fursa namaanisha ni
mpango saawia wasanii kutoa mawazo yao
 kwenye Jamii na hata msaada kiujumla.
Mchana wa Leo nilikuwa Mmoja wa wasanii ambao 
niliudhuria Fursa hii na kuzungumza na mashabiki
zangu na wakazi wa jiji ili,Ni mengi nimezungumza kuwasihi 
na kuwaelimisha kiundani zaidi hadi kufunguka zaidi
kuwaelezea hali yangu tangu utotoni hadi naanza 
muziki,kutokana na maisha niliyopitia nimewasihi 
kuto kata tamaa kwenye jambo lolote wafanyao
 kwenye kujiingizia kipato cha maisha na hata
 kwenye nyanja zingine za maisha
hata katika elimu na ujasiriamali kiujumla.
Kiukweli binadamu tunapitia mengi lakini
Imani zetu pekee inabidi tuaziwek hai
na kuzidi kupambana kila kukicha
na tuzidi kumuomba mwenyezi Mungu.
Ni mifano mingi nimeweza wapa kutoka nilipokuwa 
hadi hapa nilipofikia kwenye kazi yangu ya muziki
na maisha yangu kiujumla,kiukweli yatupasa
 kumshukuru Mungu kwa kila jambo....
Kiukweli aikuwa Rahisi kufika hapa nilipo ni mengi nimepitia
nikikumbuka muda mwingine ni machozi utawala lakini
akuna mbili pasipo kuwa na moja,moyo wa imani
uliojengeka kwenye maisha yangu,nidhamu na hekima
iliyonda
Nimeamua kukuwekea video hii uweze kujionea 
mwenyewe kwa zaidi nilipokuwa nikisema na wakazi
wa jiji la Tabora kwenye Fursa ya Fiesta 2013-TWENZETU.....
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. hongera sana kwa kuwapa moyo,wenye masikio wameona wenye kujifunza wamejifunza wamepata bahati sana kupata fulsa ya kuongea na wewe juuuuuu ya maisha,na wenye kukata tamaaa hawatakata tamaaaaaa tena na wenye bidiiiii wataongeza bidiiiii nikutakie kazi njema tabora upo juuuuuu tunaisubiri nyimbo mpya

    ReplyDelete
  2. I really respect and admire your courage Naseeb. People need to understand that we Tanzanians can do things and succeed as long as we work hard and stop hating each other.
    Big up bro and keep on working hard.

    ReplyDelete