Mpigie kura Mshiriki pekee aliebakia kwenye mashindano ya Big Brother The Chase 2013 yanayoendelea Nchini South Africa......Yupo kwenye Nomination waeza Mpigia kura kupitia ujumbe wa maneno unaandika VOTE FEZA kwenda namba 15456......Fanya hivyo sasa kuweza kumuwezesha Fedha Kessi kubakia ndani ya jumba ilo kuzidi kuipeperusha Bendera ya Taifa la Tanzania ndani ya BBA The chase 2013....
KAKA BAADA YA NANDO KUTOLEWA SINA IMANI NA FEZA
ReplyDelete