Recent Comments

NEW AUDIO:SWIZZ BEAT FT NICKI MINAJ,LIL WAYNE,RICK ROSS & 2CHAINZ-HANDS UP

Kutoka majuu uko ,Jumatat ya leo nakudondoshea
Audio mpya ya Producer nguli nchini Marekani
na dunia,hapa namzungumzia Swizz Beat akiwa
amewashirikisha Member wa Young Money
Nicki Minaj & Lil wayne uku akizidi fanya unyamwezi
 na Boss wa MMG Rick Ross na Mwanamuziki
anaefanya vizuri kwa sasa 2Chainz,kuwa wa kwanza kusikiliza hapa.
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment