Lil wayne au waeza muita Tunenchi toka Young Money baada ya kukamilisha kile wanachosema unyamwezi kwenye Mixtape yake Mpya,hii ndio cover ya Mixtape yake hiyo aliyomshirikisha Dj Drama. Imesubiriwa na kuuliziwa sana na wananchi nchini Marekani na duniani kiujumla, sasa kaa tayari ndani ya 31/8/2013 ,MIXTAPE hii itaachiwa na kuanza kuuzwa.
Pitia hapa hapa kwenye Blogsite yako na ujue undani zaidi ,utaweza kuisikilizia wapi au kuipataje.
0 comments:
Post a Comment