Katika hali ya kustajabisha imeonekana kuwa ukanda wa Afrika ya Mashariki ndio uliochangia vikubwa kumfanya Dilish wa Nambia kujinyakulia dola laki tatu za kimarekani kwenye Finali za BBA THE CHASE 2013. Unaeza kuangalia zoezi zima la Tarehe 25.8.2013 la upigaji kura kwenye finali hizi... : Angola: Dillish Botswana: Cleo Ghana: Elikem Kenya: Dillish Ethiopia: Beverly Malawi: Cleo Namibia: Dillish Nigeria: Melvin South Africa: Cleo Sierra Leone: Elikem Tanzania: Dillish Uganda: Dillish Zambia: Cleo Zimbabwe: Elikem Rest of Africa: Melvin
0 comments:
Post a Comment