Baada ya kuonesha matamanio yake hadi kufikia kuwa mshindi hii inatukumbusha mengi zaidi kwa upande wa Dilish,Mshindi wa Big Brother The Chase 2013. Dilish amejinyakulia taji ilo mbele ya washiriki wenzie waliokuwa wamebaki washiriki watano. Dilish ambae amejinyakulia kitita cha zaidi ya milioni mia tatu za kitanzania alibubujikwa na machozi mara tu ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji ilo......
Hii ni furaha kwa Dilish kuwa mwanamke wa pili kushinda mashindano hay baada ya yule wa kwanza kutoka Zambia,Cherise.Dilish amefanya kweli kwa wanawake wote wa Afrika.
Hongera kwa Dilish kwa kujinyakulia kitita hiko. Kwa maana alifika,akafanya yake na sasa amejishindia,Hongera Dilish
0 comments:
Post a Comment