Napenda kuchukua fursa hii mimi na Team yangu nzima ya wasafi na Blogsite yangu hii kumtakia Happy birthday my best vocalist of all time,Barnaba Boy....Mwenyezi Mungu amjalie wingi wa rehema na azidi kumbariki kwenye kazi yake ya muziki kikubwa zaidi Hekima na Busara zitawale ndani yake.......Baraka tele kwako...
0 comments:
Post a Comment