Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya na wale wala bata wote wanaokula bata mpaka kuku aseme bata.......Ni NEW MAISHA CLUB Tena na ujio mpya baada ya mwezi mtukufu na muonekano mpya ndani ya Club hii ya kijanja zaidi mjini imekuja na mabo tofauti tofauti. kama wewe na pia ni mjanja na unajijua ni diva hapa town basi hii inakuhusu sana Ballerz wote si wakukosa au vipi bhana,hii ndio habari ya town..... Wote Mnakaribishwa ndani ya MBEYA...!!
Hi,i'm jeniffer from kenya,i tried to reach you through twitter but i doubt if u saw it,i was suggesting maybe u would conside a G account,then u can share video clips,photos n posts of any kind with fans.thank you

ReplyDelete