Recent Comments

NEWS:HII NDIO RATIBA MPYA YA NEW MAISHA CLUB,MBEYA

Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya na wale wala bata wote wanaokula bata
mpaka kuku aseme bata.......Ni NEW MAISHA CLUB
Tena na ujio mpya baada ya mwezi mtukufu
na muonekano mpya ndani ya
Club hii ya kijanja zaidi mjini imekuja na mabo tofauti
 tofauti. kama wewe na pia ni mjanja
na unajijua ni diva hapa town basi hii inakuhusu sana
 Ballerz wote si wakukosa
au vipi bhana,hii ndio habari ya town.....
Wote Mnakaribishwa ndani ya MBEYA...!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Hi,i'm jeniffer from kenya,i tried to reach you through twitter but i doubt if u saw it,i was suggesting maybe u would conside a G account,then u can share video clips,photos n posts of any kind with fans.thank you

    ReplyDelete