Baada ya kurudi madarakani kwa kipindi kingine,Rais Robert Mugabe (89) amehaidi kufanya mabadiliko makubwa kwa wananchi wake ili kuleta maendeleo makubwa kutokana hali ya kiuchumi nchini humi... Aidha Rais Mugabe amesema yupo tayari kufanya kazi ya kujenga Zimababwe bora na vyama vya upinzani kuleta maendeleo kwani Zimbabwe yahitaji mabadiliko makubwa na wananchi wake kujikwamua kutoka kwenye hali ya umaskini Uliokithiri..... Pia Rais Mugabe anatazamiwa kutoa maelewano kutoka kwa watu wa Mangharibi kuanza kuleta wawekezaji ndani ya nchi hiyo kuwekeza baada ya miaka kumi iliyopita kutimuliwa na Rais huyo nchini humo....!!
0 comments:
Post a Comment