Recent Comments

PICHA:MWANAMKE ANAYEKAMILISHA MAISHA YANGU

The most beautiful and lovable word in any language is ‘mother’
Mom is the portrait of love, care, affection and sacrifice
 for her children. She is the most important
woman in everybody’s life, the place that a mom holds can
 never ever be taken over
 by anyone else,NAKUPENDA SANA MAMA YANGU
 KIPENZI,DAIMA UKO NA MIMI




Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

13 comments:

  1. Una akili sana wewe kijana,nafurahi sana unapotambua na kumthamini mama yako mzazi ndiyo maana utafanikiwa kila siku hakuna kama mama

    ReplyDelete
  2. mama ndio kila kitu katika hii duniaa picha yako imeniliza maana wapo ambao awapo kalibu na wazazi wao hasa mama na maisha yao yana kwenda ila sikama agekuwepo mama!!! Mugu atujalie upendo zaidi kwa Mama zetu na kwa wanawake wote duniani.

    ReplyDelete
  3. hongera sana bro hakika ww ni mfano wa kuigwa ujue kuna watu walisha kuwa masuperstar mpaka wakachuja lakin watu hawawajui mama zao na wapo hi sarut kwako

    ReplyDelete
  4. Unaonaje ukitutungia wimbo kuhusu mama....@diamond

    ReplyDelete
  5. Swali kwa Diamond Plat...unampenda yr MOM lakn sjawah sikia nyimbo umetunga kuhusu mama

    ReplyDelete
  6. hebu chapa song moja la kuhusu mama ili wengine mama ze2 wajue kuwa muzik pia ni jambo jema katika jamiii ye2

    ReplyDelete
  7. Ahsante Nasibu kwa kutambua MAMA MZAZI hana mfano na Mwanamke mwingine aweye yote katika maisha yako.

    ReplyDelete
  8. penda sana wewe sababu unampenda mama yako .. mama ndio kila kitu

    ReplyDelete