Recent Comments

    Blogger Comment
    Facebook Comment

6 comments:

  1. can you send more video of your birthday im in love with this video badly, uyo msichana mnene ni renitha aliwahi soma udsm socialogy? na alisoma mbezi beach pia wanafanana kama sio yeye.tuweke yaliyojiri kwenye hicho kitanda after those people left basi.

    ReplyDelete
  2. Usipomtajaa wema hamsiki raha ee kwan hakuwa na madem wengine kabla au ndo mwamba wenye madin,muachen kichuna wetu mtajen kidot,uwoya,wolper mpumzishen madam kwa sasa inatosha

    ReplyDelete
  3. Mbwembwe tu... bado sana, Penny punguza jazba ukiongea,pua zinatanuka sana

    ReplyDelete
  4. relax, huyo wako tu, kila jambo na wakati na bado hata wakati wako utapita pia. haki yake kijana Dini pia ruksa kwake kuwapanga. Dimond amua kuoa kabisa utuletee babies maana mama wa mwanao ndio kidogo tutaamini waweza tulia.

    ReplyDelete
  5. ni rahisi kumtoa mtu kutoka mbagala kuja masaki, bali ni ngumu sana kuitoa mbagala kuja masaki.......penny mamii u dont need to use to much energy to show us diamond loves u.... just chillll.. jeeez

    ReplyDelete