Recent Comments

PICHA KUMI UJIONE KEKI TOFAUTI ZA KUVUTIA ZA HARUSI

Leo mtu wangu wa kweli nimekuandalia kitu kimoja tofauti
 kabisa mpitiaji wa Blogsite hii,


Vile vile hii ni muhimu sana kwa wale ambao wapo kwenye
maandalizi ya Harusi au hata wale
watakaoingia kwenye ndoa karibuni....Basi hii inakufaha zaidi
 katika pita pita zangu niliweza kukutana
na picha hizi za keki zilizotengenezwa juu ya ufanisi mzuri na
watengenezaji waliobobea kwenye kazi
hii barani ulaya,nikaona nisipendezeshe machopekee yangu basi waacha
nikuweke hapa uweze kujionea mwenyewe
keki zinazotumika kwenye masherehe au Harusi
 kiujumla....Natumahi picha hizi kumi
unaweza kujionea mwenyewe keki hizi
zinavyovutia mtu wangu wa kweli.....

















\

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment