Recent Comments

USAJILI BARANI ULAYA:MICHAEL OWEN AWASIHI LIVERPOOL KUMUUZA SUAREZ

Kwa sasa kwenye magazeti barani ulaya utakuta vichwa vya habari v
ikizungumzia Mshambuliaji wa
Liverpool,Luis Suarez ambae amekatilia kuti kavu timka


kilabuni hapo lakini kwa upande mwingine
Liverpool aipo tayari kumuuza mshambuliaji
huyo mwenye asili ya urugui....
Staa na mkongwe wa kilabu hiko cha majogoo wa
London Michael owen ameongea leo
kufuatia sakata la mchezaji huyo anaesuasua
kuhiama klabu hiyo msimu huu..
''Nawashauri Liverpool,nashauri bodi nzima ya Liverpool
 kama ametaka mchezaji kuondoka
sioni sababu ya kumlazimisha aendele kuwepo,kwanza
ameonesha anafadhira cha pili ni mapenzi yake
ameona ana amani akiwepo hapo,kwahiyo ushauri wangu
ni kheri auzwe mapema kuweza kujua
msimu unaofata ni mchezaji gani asajiliwe kabla ya
 dirisha la usajili alijafungwa''
Alisema mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool.....
''Sintopenda kumuona mtu ayupo na amani pale
wakati ni timu ambayo inaheshima kubwa
nchini,ametaka hivyo basi aachiwe
kulikoni kubakia nae na aje kucheza kwenye
kiwango cha chini,alimaliza
Star huyo.....

Dirisha la usajili barani ulaya linafungwa tarahe 31 August,
Je Suarez atatimiza matamanio yake
ya kuamia kwa washika bunduki wa London,Arsenal....Tusubiri tuone....
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment