Recent Comments

PICHA:AMMY NANDO AKIWA NA MAMA AKE MZAZI NCHINI MAREKANI

Zifuatazo ni picha za Ammy Nando akiwa
 nchini Marekani anakoishi,kumbuka
 Nando ni mtanzania
 anayeishi Marekani,Nando
 alitolewa ndani ya jumba la BBA
 baada ya kukiuka sheria za BBA kwa
 kukutwa na kisu,mkasi pamoja na kumtishia kumuuwa mshiriki mwenzie

Nando akila pamoja na mama ake mzazi



kutoka kushoto ni Mayor wa LA, Deo Temba, Army Nando,
 Nancy Assenga (Mama mzazi na manager wake) pamoja na
 mkurugenzi mtendaji wa Swahili TV Bwana Alex Kassuwi

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. nimewapenda sana wamependeza wanafanana kweli safiiiiiiii sana endelee kumpenda mama yake kwani mama ni nguzo ya maisha

    ReplyDelete