Kaka dada ndio video kwa hewa inayofanya vizuri kwa sasa baada ya ujio wake kusubiriwa vilivyo ndani ya week sasa imekamilika,kama ulishaiona hapa hapa kwenye Blogsite yako ya kijanja waeza tupia jicho la pili kuangalia tena hapa hapa ts Jokate Urban Mwegelo & Lucci-kaka dada chini ya Production kali toka Kenya,Ogopa Videoz. Burudika nasi hapa...
0 comments:
Post a Comment