Recent Comments

PICHA ZA SHOW NILIYOFANYA MJINI SONGEA-KILI MUSIC TOUR

 Jana ilikuwa ni mwendelezo wa tou
r za music,Kili music
 tour kwa washindi wa tuzo za KTMA na baadhi y
a wasanii,kutokana na ratiba kubana
 ikiwemo MTV awards,sikuweza kushiriki show za mwanzo,hii ya Songea imekua ya kwanza,nishukuru watu wangu wa Songea kwa sapoti
 kubwa waliyoitoa kwangu na wasanii wenzangu wote
 walioshiriki ..hizi ni baadhi ya picha ilivyokuwa.




















Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

3 comments:

  1. wema mzuri jamani mimi penda yeye

    ReplyDelete
  2. big up Diamond Wema Ezekiel wamependeza sana

    ReplyDelete
  3. wema mrembo sana,,hiyo stage mi ningeopoga lol.ningefikiria nadondokea kwa ndani.

    ReplyDelete